"Kiwekaji cha Kiundaji cha Data ya Usemi" "Inasakinisha data ya sauti kwenye hifadhi ya USB." "Inasakinisha data ya sauti kwenye kadi ya SD." "Data ya sauti imewekwa kwa mafanikio. Sasa unaweza kuondoa kiwekaji hiki kwa usalama." "Ondoa" "Data ya sauti haikuweza kusakinishwa. Hakikisha hifadhi yako ya USB kwa ina angalau nafasi wazi ya 6MB." "Data ya sauti haikuweza kusakinisha. Hakikisha kadi yako ya SD ipo kwenye kifaa chako na ina angalau nafasi tupu ya 6MB. Ikiwa kadi yako ipo tayari katika kifaa chako, jaribu kuiondoa kadi hiyo na kuiingiza upya." "Jaribu tena"