"Kuhifadhi kikamilifu" "Kurejeza kamili" "Chelezo kamili la data iliyounganishwa kwenye eneo kazi la kompyuta limeombwa. Unataka kuruhusu hii kutendeka?"\n\n" Ikiwa hukuomba chelezo mwenyewe, usikubali uendeshaji kuendelea." "Cheleza data yangu" "Usicheleze" "Kurejesha kamili kwa data nzima kutoka kwa eneo kazi la kompyuta lililounganishwa limeombwa. Unataka kuruhusu hii kutendeka?"\n\n" Ikiwa hukuweza kurejesha upya mwenyewe, usiruhusu uendeshaji huu kuendelea. Hii itaweka upya data yoyote iliyo kwenye kifaa hiki sasa!" "Rejesha upya data yangu" "Usirejeshe upya" "Tafadhali ingiza nenosiri lako la chelezo hapo chini:" "Tafadhali ingiza nenosiri la usimbaji fiche wa kifaa chako hapo chini." "Tafadhali ingiza nenosiri lako la msimbo fiche hapo chini. Pia litatumika kusimba fiche jalidi ya hifadhi." "Tafadhali ingiza nenosiri la kutumia kwa usimbaji fiche wa chelezo ya data kamili. Ikiwa hii itawachwa wazi, nenosiri lako la sasa litatumika:" "Ikiwa unataka kusimba fiche data nzima ya kucheleza, ingiza nenosiri la hapo chini:" "Ikiwa data iliyorejeshwa upya, tafadhali ingiza nenosiri lililo hapo chini:" "Inaanza kuhifadhi..." "Imemaliza kuhifadhi" "Inaanza kurejeza..." "Kurejeza kumekamilika" "Muda wa uendeshaji umeisha"