"Kisakinishaji cha furushi"
"Sakinisha"
"Kwisha"
"Ruhusu programu hii:"
"Ghairi"
"Haijulikani"
" inasakinisha..."
"Progarmau imesakinishwa."
"Je, unataka kusakinisha programu hii? Itapata ufikivu katika:"
"Je, unataka kusakinisha programu hii? Haihitaji ufikivu wowote maalum."
"Je, unataka kusakinisha sasishi katika programu hii iliyopo? Data yako iliyopo haitapotea. Programu ya sasishi itapata ufikivu katika:"
"Je, unataka kusakinisha sasishi katika programu hii iliyojengewa ndani? Data yako iliyopo haitapotea. Programu ya sasishi itapata ufikivu katika:"
"Programu haikusakinishwa."
"Inaonekana kifaa kimeharibika"
"Furushi lililopo kwa jina sawia na sahihi inayogongana tayari limesakinishwa."
"Kifurushi kinafanya kazi tu na toleo jipya la Android"
"Programu hii haitangamani na kompyuta yako kibao."
"Programu hii haitangamani na simu yako."
"Furushi bainifu lilifutwa kabla ya usakinishaji uweze kukamilika."
"Furushi halikupitia uthibitishaji na haliwezi kusakinishwa."
"Muda ulikwisha ulipokuwa ukijaribu kuthibitisha furushi hili. Jaribu kusakinisha tena baadaye."
"%1$s haikuweza kusakinishwa kwenye kompyuta yako kibao."
"%1$s haikuweza kusakinishwa kwenye simu yako."
"Fungua"
"Sakinisha imezuiwa"
"Kwa ajili ya usalama, kompyuta yako kibao imepangwa kuzuia usakinishaji wa programu zilizopatikana kutoka kwa vyanzo visivyojulikana."
"Kwa ajili ya usalama, simu yako imepangiliwa kuzuia usakinishaji wa programu zilizopatikana kutoka kwa vyanzo visivyojulikana."
"Sawa"
"Mipangilio"
"Chanzo kipya cha programu"
"%1$s anataka kusakinisha programu nyingine. "\n" "\n" Ruhusu hii sasa na katika siku za usoni?"
"Dhibiti programu"
"Badilisha programu?"
"Programu unayosakinisha itachukua nafasi ya programu nyingine."\n\n"Data yako ya mtumiaji wa awali itahifadhiwa."
"Huu ni programu ya mfumo."\n\n"Data yako ya mtumiaji iliyotangulia itahifadhiwa."
"Nafasi imeisha"
"%1$s haingeweza kusakinishwa. Wezesha nafasi kiasi na ujaribu tena."
"Sawa"
"Programu haikupatikana"
"Programu haikupatikana katika orodha ya programu zilizosakinishwa."
"Sanidua programu"
"Sanidua kisasisho"
"%1$s ni sehemu ya programu ifuatayo:"
"Unataka kusanidua programu hii?"
"Unataka kubadilisha programu hii na toleo la kiwanda?"
"Inasanidua..."
"Kusanidua kumemalizika."
"Kusanidua hakukufaulu."
"Haiwezi kusanidua kwa sababu furushi hili ni kifaa amilifu cha usimamizi."
"Dhibiti wasimamizi wa kifaa"
"%1$s haingeweza kusaniduliwa."
"Changanua hitilafu"
"Kulikuwa na tatizo la kuchanganua furushi."
"Mpya"
"Faragha"
"Kifaa cha Ufikivu"
"Sasishi hii haihitaji vibali vipya.."